Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Kipindi cha nyuma lilikuwa ni jambo gumu kuona Malaya akionyesha sura yake akiwa anahojiwa na mwanahabari, ila sasaivi limekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwani Malaya wamekuwa hawana hofu kwa jamii wala familia zao kuwa zitawaonaje.
Unahisi umalaya limekuwa jambo la kawaida kiasi kwamba watu hawahofii kujulikana?
Written by Mjanja M1 ✍️
Unahisi umalaya limekuwa jambo la kawaida kiasi kwamba watu hawahofii kujulikana?
Written by Mjanja M1 ✍️