Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Shirikisho la Machangudoa wa Ghana (GPA), limetoa orodha ya bei za kugonoka, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia wageni na wateja wao wanaotarajiwa kuwasili nchini Ghana kwa ajili ya Kombe la Afrika la Wanawake Mwezi Novemba 17 - Disemba 1, 2018.
Rais wa Machangudoa wa Ghana (GPA), Madame Patience Adomah, aliilaumu Kamati ya Maandalizi ya Mashindano nchini Ghana (LOC) kwa kutowahusisha GPA katika maandalizi hayo. Alisema walitaka kuwasilisha bei zao pamoja na mabinti wazuri ili wapate access kwenye mahoteli ama kwa waliopangwa kutoa burudani kwa wageni waalikwa.
GPA waliahidi kutoza bei za kawaida. Kwa usiku mmoja, itakuwa fedha za kighana Cedi 200 wakati kwa nusu siku ni Cedi 150.
Dola 1 ni sawa na Cedi 4.8. Hivyo, Cedi 200 ni sawa na Dola 41
So kwa hela yetu ya madafu ni sawa na Tsh. 94,300 kwa usiku mmoja.
Hata hivyo, kwa mapenzi ya chomolea, bei itakuwa ni Cedi 30 - 60 (Tsh. 13,800 - 27,600) kuanzia saa 1 - 4 usiku; wakati itakuwa Cedi 15 - 30 (Tsh. 6,900 - 13,800) kuanzia saa 5 - 11 alfajiri.
Kazi kwenu mashabiki wa mpira wa wanawake.