Machawa: Kumteka house boy kunamsaidia vipi Mama

Machawa: Kumteka house boy kunamsaidia vipi Mama

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Yaani unaenda kuteka ma houseboy wa viongozi wajinga jinga upinzani kumtisha nani! Usalama badala ya kufanya kazi wanashinda kuvuzia

Mpaka ma house boys. Mama ananufaika na nini hasa?

Mnawasaidia sana wenye kesi za mauaji huko
 
Back
Top Bottom