Machawa wamechanganyikiwa baada ya IGP, CDF na DCI kupewa amri ya kwenda kutoa ushahidi

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Nimeingia mitandao mbalimbali na kukutana na taarifa kuwa IGP, CDF na DCI wanatakiwa kwenda kutoa ushahidi kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, lakini kilichonishangaza ni kwamba machawa yanaonekana kuchanganyikiwa zaidi kuliko mshtakiwa hii inamaanisha nini wadau? Naomba majibu.
 
Ngoma itamalizwa kabla. Hii move hawakuitegemea.
 
Nimeingia mitandao mbalimbali na kukutana na taarifa kuwa IGP, CDF na DCI wanatakiwa kwenda kutoa ushahidi kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, lakini kilichonishangaza ni kwamba machawa yanaonekana kuchanganyikiwa zaidi kuliko mshtakiwa hii inamaanisha nini wadau? Naomba majibu.
Ok
 
Back
Top Bottom