Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
ok.🐒Nimeingia mitandao mbali mbali na kukutana na taarifa kuwa igp,cdf na dci wanatakiwa kwenda kutoa ushahidi, lakini kilichonishangaza ni kwamba machawa yanaonekana kuchanganyikiwa zaidi kuliko mshtakiwa hii inamaanisha nini wadau? Naomba majibu.
nguruweok.🐒
ok. Nyumbu 🐒nguruwe
Miredio mikuubwaaa ila bendi moja.Mtaenda kushuhudia jinsi watu walivyo na vyeo vikubwa sana lakini ni upstairs ni hopeless.
Yaani upepo ubapita halafu nyeti za kuku zinakuwa waaaaziiii!!!Mtaenda kushuhudia jinsi watu walivyo na vyeo vikubwa sana lakini ni upstairs ni hopeless.
Na hii ndio wanajaribu kukwepa, watu wamepewa vyeo out of politcs interest na si competent, itawavua nguoMtaenda kushuhudia jinsi watu walivyo na vyeo vikubwa sana lakini ni upstairs ni hopeless.
Hili ngoma naona gov itapambana mpaka mwisho. Wanaona aibu kufanya hivyo, kesi itaenda mpaka court of appeal maybe atachomokea huko.Hao kabla hawajaenda utasikia ile kitu ya kuitwa " Serikali haina nia ya kuendelea na kesi"
OkNimeingia mitandao mbalimbali na kukutana na taarifa kuwa IGP, CDF na DCI wanatakiwa kwenda kutoa ushahidi kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, lakini kilichonishangaza ni kwamba machawa yanaonekana kuchanganyikiwa zaidi kuliko mshtakiwa hii inamaanisha nini wadau? Naomba majibu.