Sio hio boss,Colombiana ni ya majuzi hapa.Colombiana..
Hapana mkuu.Hapana.
Labda anazungumzia "Dare Devil"
YesMnamzungumzia Danny Trejo ama?
Ile sura ya Machete lazima ukubali ni mtu wa matukio hahaaahaaa,Kuna movie flani hivi inaitwa Machete ya kitambo kidogo ilikuwa ni noma,
Kuna Mjuba Usoni ana Ngeu kinoma sio Ngeu tu ni Ngeu zilizotokana na michanjo ya Visu, ndio wa Kumwita Machete,Ana Roho Ngumu kuliko ata Ugumu wa roho yenyewe.
Kitaani kwetu kipindi kile tukimuona mtu ana sura Ngumu lazima tumuite Machete.
Je unamkumbuka huyo mjuba? Je Unakumbuka tukio gani la kikatili alilolifanya kwenye moja scene ya filamu hiyo.
Hapa nawachanganya Sasa hadi nione pichaSio hio boss,Colombiana ni ya majuzi hapa.
Hii ninayoisema yenyewe ni ya 1990's huko boss.
Kuna movie fulani ya kitambo jamaa anatembea na guitar ndani ni machine gun ya ki mexicoNaikumbuka hiyo movie Adui mkuu alikuwa kama Gasho flani hivi kimuonekano ila Anagonga Ngumi kufaaa