Machete| Nani anamkumbuka huyo Mjuba

Machete| Nani anamkumbuka huyo Mjuba

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kuna movie flani hivi inaitwa Machete ya kitambo kidogo ilikuwa ni noma,

Kuna Mjuba Usoni ana Ngeu kinoma sio Ngeu tu ni Ngeu zilizotokana na michanjo ya Visu, ndio wa Kumwita Machete,Ana Roho Ngumu kuliko ata Ugumu wa roho yenyewe.

Kitaani kwetu kipindi kile tukimuona mtu ana sura Ngumu lazima tumuite Machete.

Je unamkumbuka huyo mjuba? Je Unakumbuka tukio gani la kikatili alilolifanya kwenye moja scene ya filamu hiyo.
 
Ile sura ya Machete lazima ukubali ni mtu wa matukio hahaaahaaa,
 
Back
Top Bottom