Pre GE2025 Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo ulitakaje kwenye hicho kitenge ulitaka waweke picha ya bibi yako?

Hapo imewekwa picha ya raisi kama kiongozi mwanamke namba moja nchini
 
Hizo sare watavaa UWT!

Hivi BAWACHA walichoma zile sare za Mama?
 
Kwa hiyo ulitakaje kwenye hicho kitenge ulitaka waweke picha ya bibi yako?

Hapo imewekwa picha ya raisi kama kiongozi mwanamke namba moja nchini
Aaaah bana wee, ukiwa chawa usiache kuwa na akili... ili iweje? We celebrate women sio mtu mmoja kwa kujipendekeza ili kufanya onekane mwema. Tena vinasambazwa kwa watumishi wa umma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Matumizi mazuri ya warembo, japo wanawake waliowengi Kwasasa hawamesahau kujiremba
 
Nafikiri wewe ndio unatukana ila jitahidi sana kuwa na heshima sawa!
umerusha kitambaa mapema sana, ukijaa poda huwezi kufika mbali, fikira zinaishia kwenye pua tu zinayeyuka
 
Misukule ya maza katika ubora wao.
 
Amini amini nakwambia:
ipo siku Samia atajamba na watu watapiga makofi na vigelegele vingi sana mark ny words ๐Ÿ˜ข
 
Kuna mda nahisi hata Samia mwenyewe akikaa peke yake anacheka sana na kufurahi kuongoza watu wapuuzi , wajinga wasiojitambua
 
Kama wanawake ndio Wameweka picha zake wewe unateseka na nini?

Pia wanawake Wana Haki ya kuweka hizo picha zake Kwa sababu wanasherehekea mafanikio ya mwanamke mwenzao sio tuu yeye binafsi Bali Kwa faida ya Wanawake wenzie ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFo-tNMt3Eu/?igsh=cnp1NTZxenBoeDlv
 
Sisi wananchi tarehe 08/03 tutakuwaj na jambo letu Benjamin Mkapa Stadium tukimwadhibu mnyama na kukaa kileleni mwa ligi
 
Huu uchawa huu ipo siku tutakuja kustuka tumeisha si mnafurahi sasa?

Ipo siku tutafuta wa kumlaumu imekua too much too much
 
Vaa kitenge tukubadili jina na jinsia mapema.
 
Mbona uzi ni mzuri tu na mleta uzi hajakosea kitu. Je lengo la kujaza mapicha ya Samia kwenye sare za siku ya wanawake ni nini?
Ni sahihi mkuu, sijaubeza uzi wake. Kuna vitu vinafanywa ni vya kushangaza sana. Moja wapo ni hilo la mapicha picha ni kama upupu umemwagwa.
 
Upuuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ