GE2025 Machifu Morongoro wafanya tambiko kumuombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwenyekiti wa Wazee wa Kimila Mkoa wa Morogoro, Angelus Likwembe amesema kuwa tambiko hilo limefanyika kwa lengo la kumuombea Dkt. Samia ili afanikishe kampeni zake kwa amani, baraka na mafanikio makubwa.

Kwa upande wake Chifu wa Nne wa Manispaa ya Morogoro, Mussa Bwakila amesema tambiko hilo limefanyika katika eneo la kihistoria ambalo kwa miaka mingi limekuwa likitumika kwa matambiko ya kitaifa na kijamii.

Hata wanya barabarani nao wataungana kumnyea lakini kamwe hatakubalika . Ataishia kujitangaza kuwa mshindi ila watanzania wote wamemkataq kwa asilimia 98.
 
Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwenyekiti wa Wazee wa Kimila Mkoa wa Morogoro, Angelus Likwembe amesema kuwa tambiko hilo limefanyika kwa lengo la kumuombea Dkt. Samia ili afanikishe kampeni zake kwa amani, baraka na mafanikio makubwa.

Kwa upande wake Chifu wa Nne wa Manispaa ya Morogoro, Mussa Bwakila amesema tambiko hilo limefanyika katika eneo la kihistoria ambalo kwa miaka mingi limekuwa likitumika kwa matambiko ya kitaifa na kijamii.
Mkoa wa morogoro ndio miongoni mwa mikoa iliyo jaa vilaza watupu huko ,mji hauna wasomi ,hauna wafanya biashara mji umejaa vila ule sishangai
 
Back
Top Bottom