Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hata wanya barabarani nao wataungana kumnyea lakini kamwe hatakubalika . Ataishia kujitangaza kuwa mshindi ila watanzania wote wamemkataq kwa asilimia 98.Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwenyekiti wa Wazee wa Kimila Mkoa wa Morogoro, Angelus Likwembe amesema kuwa tambiko hilo limefanyika kwa lengo la kumuombea Dkt. Samia ili afanikishe kampeni zake kwa amani, baraka na mafanikio makubwa.
Kwa upande wake Chifu wa Nne wa Manispaa ya Morogoro, Mussa Bwakila amesema tambiko hilo limefanyika katika eneo la kihistoria ambalo kwa miaka mingi limekuwa likitumika kwa matambiko ya kitaifa na kijamii.
Mkoa wa morogoro ndio miongoni mwa mikoa iliyo jaa vilaza watupu huko ,mji hauna wasomi ,hauna wafanya biashara mji umejaa vila ule sishangaiWazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwenyekiti wa Wazee wa Kimila Mkoa wa Morogoro, Angelus Likwembe amesema kuwa tambiko hilo limefanyika kwa lengo la kumuombea Dkt. Samia ili afanikishe kampeni zake kwa amani, baraka na mafanikio makubwa.
Kwa upande wake Chifu wa Nne wa Manispaa ya Morogoro, Mussa Bwakila amesema tambiko hilo limefanyika katika eneo la kihistoria ambalo kwa miaka mingi limekuwa likitumika kwa matambiko ya kitaifa na kijamii.
Sasa mluguru na mzaramo hana tofautiMkoa wa morogoro ndio miongoni mwa mikoa iliyo jaa vilaza watupu huko ,mji hauna wasomi ,hauna wafanya biashara mji umejaa vila ule sishangai