sawa sijaweka mimi nimepewa hivyo hivyo tusaidiane kuirekebisha. Ila ila inaelekea Mkwawa na Mirambo walipata warithi na walitumia majina yale yale yaani Mkwawa na Mirambo wale wa kwenye Historia. Sababu mpaka leo Mrithi waMkwawa yupoMajina uliyoweka siyo ya kweli kwani ChifuMkwawa na Chifu Milambo (siyo Mirambo) wao walikufa wakati wa utawala wa mjerumani zaidi ya miaka 20 kabla ya utawala wa Twining.
Mmh?sawa sijaweka mimi nimepewa hivyo hivyo tusaidiane kuirekebisha. Ila ila inaelekea Mkwawa na Mirambo walipata warithi na walitumia majina yale yale yaani Mkwawa na Mirambo wale wa kwenye Historia. Sababu mpaka leo Mrithi waMkwawa yupo
Historical facts kwenye hii picha hazipo sahihi kabisa,yani mkwawa na muingereza wapo kwenye picha!!! Wakati mkwawa alikufa kabla hata ya mjerumani kuchukua utawalaHuyo ni milambo kweli!? Milambo mtu wa 1840s huko
bahati nzuri umekiri mwenyewe.Mkwawa alijiua miaka ya 1896 kabla mwingereza hajaja baada ya vita vya kwanza vya dunia.Governor wa kwanza Tanganyika alikuwa Horace Byat,akaja Donald Cameroon akaja Richard Twining wa mwisho ndio tukapata uhuru alikuwa Richard Turnbul.Richard Twining wakati anatawala Mkwawa na Mirambo kwanza nadhani wote hao walishafariki hata hivyo ahsante kwa picha hii maridhawa.
Majina uliyoweka siyo ya kweli kwani ChifuMkwawa na Chifu Milambo (siyo Mirambo) wao walikufa wakati wa utawala wa mjerumani zaidi ya miaka 20 kabla ya utawala wa Twining.
Hapo ni baadhi ya Ma Chifu wa enzi hizo. Wanaonihusu hawaonekani vizuri. Kwenye maktaba yangu nahitaji kuweka mambo sawa sasa
bahati mbaya picha imechakaa. Nillipata jamaa yangu alileta kazini nimfanyie scanning na kuikuza.
Humu inawezekana kuna mdau anayopicha yenye yenye mwonekano mzuri zaidi.
Nawasilisha