Machimbo au kiwanda wanapouza mifuko ya nylon kwa Bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam

Machimbo au kiwanda wanapouza mifuko ya nylon kwa Bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
86
Reaction score
92
Habari,
Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm

Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani

Screenshot_20250402-195323.png
 
Karume, kituo cha daladala ukiwa unatokea mataa ya keko....ukishuka kituo cha karume hapo hapo kuna chocho za mifuko bei zao ni chini kuliko masokoni na kwingine.

Mfano ile mifuko ya tsh 200 ambayo inauzwa jumla buku, pale wanauza 800
 
Back
Top Bottom