stan john Member Joined Feb 17, 2022 Posts 86 Reaction score 92 Apr 2, 2025 #1 Habari, Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
Habari, Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 2, 2025 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Apr 2, 2025 #3 Karume, kituo cha daladala ukiwa unatokea mataa ya keko....ukishuka kituo cha karume hapo hapo kuna chocho za mifuko bei zao ni chini kuliko masokoni na kwingine. Mfano ile mifuko ya tsh 200 ambayo inauzwa jumla buku, pale wanauza 800
Karume, kituo cha daladala ukiwa unatokea mataa ya keko....ukishuka kituo cha karume hapo hapo kuna chocho za mifuko bei zao ni chini kuliko masokoni na kwingine. Mfano ile mifuko ya tsh 200 ambayo inauzwa jumla buku, pale wanauza 800