Machimbo ya bata mikoani kwa mnaosafiri leo

Mkuu arusha siyo mkoani ,Arusha ni nchi huru iliyo ndani ya Tanzania na inajulikana kwa jina letu kuu U.S.A- United State of Arusha a.k.a Chugga na watu wa huku ni wa chugastani au wadudu ukipenda hivyo
Nah uku hatuitani majina zaidi ya kuitana machaliii na wanawake wetu ni la mama /manzi/ demu wa msela

Na ukiwa unataka utelezi huku kijanja tunaita ""nyauuu"" mwambie la mama naomba hiyo nyauu kiroho safi na usijifanye mjuaji utapewa.

Hivyo ukija huku angalia usichukue demu wa msela . Siyo kila mwanamke utakaye muona Mrina Bar / Shivazi ukazani anajiuza wengine ni demu wa msela wanapitapita mitaani. Soma code kijanja sana utajua demu wa msela na dada poa

Ukijichanganya Chugga utakua chakula cha wadudu na hakika tutakukula bila maji.

Tahadhari hii iwafikie WANAUME WOTE WA DAR maana wakija huku wanajiona wajanja mbele ya madem zetu hakika mtaumia kuweni makini .

Nchi yetu ya Arusha ni nzuri na ya kistaarabu sana na tunapenda wageni , ukikutana na kijana/ Mzee ndani ya nchi yetu salamu nyepesi ni 'oi, niaje, inakuaje""
majibu yake ni "haina noma ,poa arifu, haina kwere au barida tuu"

Ewe mwanaume /mdada / mzazi kusalimiwa na manzi wa huku kihuni usiwaze ndiyo salamu za huku.

Salama za kumpa demu ni "mambo" au "niaje la mama" Wako pisi manzi zetu japo wababe hivyo unatakiwa ukaze kiume na usirushe nako maana masela hatupendi fedhea au upige manzi zetu, demu kama hakuwezi anakujazia "nzi ". Na hakika tutakutafuna bila maji.

ONYO uwapo ndani ya nchi ya Arusha usimwambie Mwanaume au jinsia ya kiume "mambo" unaweza kukatwa pasipo nakujua kosa lako ni nini.

KARIBUNI SANA ARUSHA , KARIBUNI NDANI YA NCHI YETU YA ARUSHA YENYE HALI NZURI YA HEWA NA SEHEMU NYINGI ZA UTALII
 
Jinsia yako ni Me au Ke?
 
Arusha ya miaka hii au ile ya miaka 10 nyuma?

Dogo acha fix, mwez uliopita nilikua hapo chuga
 
Sawa Yesu
 
Sex tourists nadhani mmesikia mwenzenu!,kahumba morogoro na mafiati mbeya ni sehemu maarafu kwa biashara za dadapoa vivo hivyo kwa maeneo yote uliyoyataja kwenye mikoa husika
 
Moshi malindi hamna siku hizi maana bl vibaka wamejaa pale , si ulipata ile info ya jamaa aliye uliwa jamaa anafanya kazi kcmc hospital , just kupita zake tuu akawekwa mtu kati
 
Tulia mzee

Umevamia mtumbwi wa vibwengo.

Hii ni ROMe do as Romans.

Kama wewe unatokea Thrace au Carthage tulia huko huko.

Usilete ujuaji kwenye miji ya watu.
 
Mimi sio dogo lako Mimi kaka Yako.

Watu wanafiki kama nyie ndio mnakuwaga wachafu kweli kweli.

Mnajidai mbele ya ID fake.
Hahaaaaa, nataka nikuchafue na wewe kwa kukuvunja duka na kukupasulia yai. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…