Machimbo ya bata mikoani kwa mnaosafiri leo

Sio lazima wote tufanane matamanio[emoji4]
 
Unateseka nn mkuu, Si ujiondoe TU jf[emoji4]
 
Yaani mtu unaandika Morogoro kuna Kahumba. Sasa pale kuna wanawake au kuna matakataka. Umalaya bwana, hapo nawe umejiona mjanja sana kutoa location kwa malaya wenzako. Sasa pale Mafiat kuna mwanamke gani wa maana. Pumbavu kabisa.
NAKAZIA mkuu!.. Yani Moro malaya wapo kama mateja, kwanza wachafu...wanavuta misigata hovyo na kunywa visungura...kwa Moro bado sijaona chimbo mkuu!!..
 
Kumechangamka mwairubi tu sio mbeya carnival.....sababu ya miundo mbinu kubadilika pale carnival hakuna tena wadosho....ila zamani walikuwepo wengi tu....sasahivi mwairubi ndio kuna hao watoto
 
......1990's ulikua unasoma chuo.....

Kwenye Uzi flani wa masuala ya forex ulikua unasema mwanachuo mwenzako alikua anakushawishi, kumbe hayo mambo yalikuepo kitambo mi nkajua 2015++
 
Kingine Malaya mzuri usiangaike unapofika sehemu yoyote iwe guest ongea na yule muhudumu ndo Mwenye connection yote ya mademu.

Achana na taka taka zinazosimama barabarani.

Kama za riveside sijui kimboka .

Wakati dar hii Ina watoto wazuri tu
Huu ushauri ni mzuri kuna exotic pia.
 
......1990's ulikua unasoma chuo.....

Kwenye Uzi flani wa masuala ya forex ulikua unasema mwanachuo mwenzako alikua anakushawishi, kumbe hayo mambo yalikuepo kitambo mi nkajua 2015++
Mzee hakunishawishi nikiwa chuoni. Chuo nimemaliza muda sana mkuu. Yule Bwana Mkubwa George a.k.a Good Morning Bilionea alikuwa anatushawishi miaka 3 au 4 iliyopita mkuu. Jamaa akawa anapost na kushare picha za Mavogue wakati nasi tuna magari na anasema sasa Mabilionea wengi wamewekeza kwenye Soft ware akina Bill gate and cos so tuachane na Physical Materials kama Nyumba, viwanja na Mashamba ili tuwekeze kwenye Forex. Tukamkatalia jamaa akaleft group.
 
πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒKama Ile Ya Mei Mosi
Dah!Mama aliwaweza watu kwa "pekeji nzuri ya May day"!Hawana hamu!Kauli ilikuwa na mvuto ajabu.Njoo kwenye utekelezaji sasa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Punguza jazba utakufa na jf utaiach
 
Nipo njiani naelekea Chalinze, nishukie wapi?
 
Mkuu bei zao ni elekezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…