The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Nenda kule yombo sigara,buza kanisani Kwa mbele kama unaelekea kwenye ule msitu wa jeshi kabla hujafika relini hapa nyuma kwenye uwanja wa tanesco wanapolaza nguzo,hapo Kuna baa kadhaa ndo makao makuu ya bwana mwenyekiti