Machimbo ya nguo na viatu kwa bei nafuu mikoani

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Machimbo ya nguo na viatu kwa bei nafuu mikoani
b05bf3b652ce7bd3b15e7e0735a76e54.jpg

Habari za muda huu wakuu,
Leo tushirikishane machimbo ya nguo za kisasa, ziwe special ama mtumba zinazouzwa kwa bei nafuu kutoka kona mbalimbali ndani ya nchi yetu

Pia kwa wale wanaofahamu mahali machimbo ya viatu vya kisasa vya bei nafuu yalipo

Tuanze na mimi: Kila mwisho wa mwezi huwa najifanyia maemezi ya hapa na pale, nitadondokea mitaa ya Kariakoo nitachukua codes zangu za mashati ya hadi Tsh. 6000 kila moja, mashati makali, nitachukua mashati 100, nikirejea kwangu maeneoa ya Osta bay nitachagua mashati yangu 10 ya kuvaa, na hayo 90 yaliyobaki nitayasafirisha kwenda Shinyanga kwa wasukuma na kuwauzia 15,000 kila moja

Faida ya nguo 900,000 Nikitoa usafiri 300,000 nabaki na 600k kama faida

Tupeaneni machimbo ya viatu na nguo za bei rahisi aidha kwa ajili ya kuvaa ama kwa biashara
 
Mim naweza kukupa connection na wachina moja Kwa moja ila bei siwezi kuweka maana bidhaa ni nyingi sana kwahyo apa naweza kuandika bei ikawa theard ndefu
Karibu PM, iko wazi mkuu. Nipatie connection mkuu tutengeneze uchumi wa mama
 
Machimbo ya nguo na viatu kwa bei nafuu mikoani
View attachment 2542027
Habari za muda huu wakuu,
Leo tushirikishane machimbo ya nguo za kisasa, ziwe special ama mtumba zinazouzwa kwa bei nafuu kutoka kona mbalimbali ndani ya nchi yetu

Pia kwa wale wanaofahamu mahali machimbo ya viatu vya kisasa vya bei nafuu yalipo

Tuanze na mimi: Kila mwisho wa mwezi huwa najifanyia maemezi ya hapa na pale, nitadondokea mitaa ya Kariakoo nitachukua codes zangu za mashati ya hadi Tsh. 6000 kila moja, mashati makali, nitachukua mashati 100, nikirejea kwangu maeneoa ya Osta bay nitachagua mashati yangu 10 ya kuvaa, na hayo 90 yaliyobaki nitayasafirisha kwenda Shinyanga kwa wasukuma na kuwauzia 15,000 kila moja

Faida ya nguo 900,000 Nikitoa usafiri 300,000 nabaki na 600k kama faida

Tupeaneni machimbo ya viatu na nguo za bei rahisi aidha kwa ajili ya kuvaa ama kwa biashara
Hayo mashati niyamtumba au special.
 
Mim naweza kukupa connection na wachina moja Kwa moja ila bei siwezi kuweka maana bidhaa ni nyingi sana kwahyo apa naweza kuandika bei ikawa theard ndefu

Naomba unitumie namba yako kwa inbox yangu kaka [emoji120][emoji120][emoji120]
Nimejaribu sana kukutumia jumbe inashindikana
 
Back
Top Bottom