kkiwango Senior Member Joined Aug 27, 2007 Posts 173 Reaction score 16 Mar 15, 2016 #1 Wakuu habari ya leo. Nina gunia zangu za alizeti hapa Dar, natafuta sehemu kwenye mashine naweza kukamua mafuta. kuna mwenye kufahamu wapi naweza kupata huduma hiyo? Asante in advance
Wakuu habari ya leo. Nina gunia zangu za alizeti hapa Dar, natafuta sehemu kwenye mashine naweza kukamua mafuta. kuna mwenye kufahamu wapi naweza kupata huduma hiyo? Asante in advance