Sarleh Arch
Member
- Feb 10, 2018
- 30
- 13
Hello Watanzania Wenzangu.
Maisha yamekua magumu sana ktk kipindi hiki, kwa bahati nzuri nyumbani nina kitega uchumi, mashine ya Kutengenezea Juice Ya Miwa, sipo hapa kwa lengo la kuiuza Hapana, nipo hapa kwaajili ya kutafuta mtu wa kufanya nae biashara hii, binafsi nimeshindwa kupata eneo la kuanzisha biashara hii kutokana na kufeli kifedha. Directly sina eneo la kufanya biashara mfano fremu tunavyoita. Kwa yeyote ataevutiwa ao atakae kua na eneo basi si vibaya tukashirikiana kufanya biashara na kupata chochote kujiendeleza na kujikuza kiuchumi.
[+255738242566]
Kwa mawasiliano zaidi.
Mi ni mkazi wa Dar es salaam Temeke Tandika