Machine ya kutengenezea mikate

Machine ya kutengenezea mikate

Mkuu kwenye mikate kuna mashine kama nne, unataka zote au. Kuna mixer (kuchanganyia) , improver(kuumulia) , slicer (kukatia sless) na oven machine (kuoka). Unataka ipi?
 
Back
Top Bottom