KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,115 Reaction score 1,807 Jan 6, 2023 #1 Habari za wakati huu wakuu Niende moja Kwa moja kwenye swali langu Nahitaji kununua machine ya kukamua miwa (juice ya miwa) Je machine ipi itanifaa interms of efficiency, uimara, pamoja na running costs, power ect Kati ya machine za kichina na izi local made nimeambatanisha picha apo chini Mwenye kujua na wazoefu tafadhali mje Kwa ushauri Nikipata muuzaji Au recommended seller mwenye reasonable price and affordable tutafanya biashara Ningependele mpya. Asante.
Habari za wakati huu wakuu Niende moja Kwa moja kwenye swali langu Nahitaji kununua machine ya kukamua miwa (juice ya miwa) Je machine ipi itanifaa interms of efficiency, uimara, pamoja na running costs, power ect Kati ya machine za kichina na izi local made nimeambatanisha picha apo chini Mwenye kujua na wazoefu tafadhali mje Kwa ushauri Nikipata muuzaji Au recommended seller mwenye reasonable price and affordable tutafanya biashara Ningependele mpya. Asante.
Sharamdala JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 3,558 Reaction score 6,538 Jan 6, 2023 #2 kutokana na uzoefu wangu wa kunywa hii juice tununua local ndio nazoona kila sehemu nayobuy hiyo juice.
kutokana na uzoefu wangu wa kunywa hii juice tununua local ndio nazoona kila sehemu nayobuy hiyo juice.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Jan 6, 2023 #3 Namba 2 iko poa sana
Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,267 Reaction score 1,643 Jan 6, 2023 #4 Namba 2 tegemea Mwanao nae atakuja itumia
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,115 Reaction score 1,807 Jan 6, 2023 Thread starter #5 Shukrani Mkuu Sharamdala said: kutokana na uzoefu wangu wa kunywa hii juice tununua local ndio nazoona kila sehemu nayobuy hiyo juice. Click to expand...
Shukrani Mkuu Sharamdala said: kutokana na uzoefu wangu wa kunywa hii juice tununua local ndio nazoona kila sehemu nayobuy hiyo juice. Click to expand...
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,115 Reaction score 1,807 Jan 7, 2023 Thread starter #6 Sawa Mkuu Kanungila Karim said: Namba 2 iko poa sana Click to expand...
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,115 Reaction score 1,807 Jan 7, 2023 Thread starter #7 [emoji28][emoji28] Nimekuelewa Tuna said: Namba 2 tegemea Mwanao nae atakuja itumia Click to expand...
[emoji28][emoji28] Nimekuelewa Tuna said: Namba 2 tegemea Mwanao nae atakuja itumia Click to expand...