KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,115
- 1,807
Habari za wakati huu wakuu
Niende moja Kwa moja kwenye swali langu
Nahitaji kununua machine ya kukamua miwa (juice ya miwa)
Je machine ipi itanifaa interms of efficiency, uimara, pamoja na running costs, power ect
Kati ya machine za kichina na izi local made nimeambatanisha picha apo chini
Mwenye kujua na wazoefu tafadhali mje Kwa ushauri
Nikipata muuzaji Au recommended seller mwenye reasonable price and affordable tutafanya biashara
Ningependele mpya.
Asante.