K KAKA NASOKI Senior Member Joined May 25, 2016 Posts 191 Reaction score 212 Feb 22, 2023 #1 Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Feb 22, 2023 #2 KAKA NASOKI said: Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi? Click to expand... Wapi Mkuu hapo pia acha watu watafte riziki
KAKA NASOKI said: Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi? Click to expand... Wapi Mkuu hapo pia acha watu watafte riziki
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Feb 22, 2023 #3 Weka japo kapicha kukusindikizia Uzi.