Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

Jemima Jackson

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
748
Reaction score
934
Habari wadau JF,

Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini watanzania tunashindwa kutumia tekinolojia kufanya biashara (digital Marketing) kwanini tuko nyuma kilakitu tunakwama wapi?

Tubadilike twende na wakati, karne ya 21 watu bado tunajilundika sehemu moja tena njiani tunafunga njia kuna baadhi wanajifanya machinga kumbe wezi kazi yao kuchomolea watu simu na pesa kwanini tunashindwa kuanzisha platform na kufanya biashara tukalipa kodi bila kuasabisha usumbufu kwa mtu mwingine,Kuna fursa nyingi sana mtandaoni

Machinga wengi wana smartphone kunasababugani kushinda juani au kunyeshewa mvua kwanini kwenye wabongo ungia mitandani na kufanya mambo tofauti na yakuongeza kipato au biashara?

Watanzania pia tubadilike ili twende sawa na machinga
Nfano mtu anataka Bunju anakwenda kariakoo kunua kitu kimoja anapanda magari mengi kwenda kufika kariakoo utapoteza muda nauli msogamoano foleni unaenda kutengeza msogamano pia unaweza kuibiwa vilevile kwanini usiingie mtandaoni ukaagiza ukaletewa kwanini tunashindwa kufanya online business muuzaji akapata pesa yake mnunuzi akapata bidhaa yake na Serkali ikapata kodi yake kwaushindani ili kupunguza bei za bidhaa kupanda bila sabu.

Mtu mwingine anatoka mkoani anaenda Dar kununua mzigo wa laki moja tu utakula bei gani utalala bei gani utatumia nauli bei gani? kwanini usinunue mtandaoni ukaletewa mkoani kwenu

kuna baadhi ya Matepeli wako kwenye mitandao ya kijamii wanafanya utapeli na kubabaisha watu nakuchafua onile business kwenye jamii na kuonekana kama utaeli japokua hawa dawa yao ni ndogo sana naweza sema ni changamoto kila jambo linachangamoto zake.

Kuna baadhi wanafanya biashara zao kwenye mitandao ya Facebook Tweeter wapo kitambo hata blog ya kuweka kazi zao wameshindwa wamelidhika namitandao ya watu wengine pale nisehemu ya kutafuta wateja na kuwapeleka kwenye platform yako unapaswa uwekeze kwako angalau kidogo ulipie gharama kama unavyolipia frem ya duka upate uchungu na utoe ajira kwa Watanzania wenzako wa IT na wengine kuna muda utafika wenye mitandao yao watabadili gia utakuja hapa kulilia na kuwa machinga wa watandaoni tengeza platform yako tangaze kwenye mitandao ya Mabeberu upate wateja wako usijenge nyumba ndani ya nyumba ya mwenzio kuna siku mwenyewe atakuzingua

Watumiaji wa mitandao ya kijamii tubadilike pia
Watumiaji wa mitandao ya kijamii tunajindanganya tunajiona kama tumefika nfano kunasiku nilienda dukani kwa dada moja anauza nguo nikamuuliza aina fula zanguoa akaniju ingia kwenye page yanga ya insta utakuta nguo zote kisha chagua nikamuliza nitafikaje napanda gari lawapi akinimba mtu mwenye mshamba, masiki dada anauza nguo mzuri hata blog yake nyenye domain ya jina la bishara yake hana kisha najiona mjanja jamani watanzania tubadilike tupende vitu vyetu.

Watu wenye maguroup facebook acha ujinga wakutoza machinga pesa kupost bidhaa zao utafikiri kunachamchango wa maana mlichangia mwenye facebook yake akilifula za ajabu ajabu ujanja ujanja mwingi ukimuuliza umewekeza bei gani kwenye group unanyanayasa watu hata mia yale magrup ni bure tuache akili za kitegemezia pia tuache rohomba na kutumia njia za mkato kupata pesa..

Watanzania kwaninia tunashindwa kuungana na kufanya jambo letu likanyooka kama baadhi ya nchi wanavyofanya na kufanyikiwa kujiletea maandeleo

Kwanini tunapingana wenyewe lakini mtu akikwama kidogo nauli kituoni awezi kwenda nje ya nchi kuomba nauli ya kurudi nyumbani utasikia oyaa kingozi nimekwama mishe zimebuma naomba jero nirudi home akipata mingo anachuka VASA card anafanya malipo ya matangazo ya biashara yake Marekani kisha anawasimlia wenzake alivyo mjanja.

Kuna watu wametengeneza platform kwetu mzuri sana zina features amabazo zinaendana na mazigira yetu ya Kiatanzania zinaondoa udanganyifu na kuongeza ajira lakini tunazikataa bila hata kuzitumia utasikia watu wanauliza offisi zenu ziko wapi mnapatikana wapi mbona kama wageni hivi sijawai kuwasikia mkowapi vile.

Jiulize swali wewe unayemkejeli mwenzako, hapo facebook unakoshinda unajua office zao zilipo au za Tweeter zilipo utupeleke na sisi tupajue, utaonekana mshamba kutumia platforms za hapa bongo wakati platifroms za mbele ziko nyingi matokea yake tunapunguza ajira mzunguko wa pesa na kodi angalia YouTube Facebook Instagram wavyopiga pesa hizo pesa zilitakiwa zibaki kwetu kwenye nchi yetu zinazunguka hapa matokeo yake platforms za ndani tunazipiga vita zinakosa sapoti na kufungwa hii sio akili hata kidogo.

Mwsisho tuanzishe kampeni ya kutangaza vitu vyetu wenyewe tulinde ajira zetu tununue vitu vyetu tuyatumie makampuni yetu leo tunazungumza machinga kesho utasikia tukio lingine tujifunze kutonaka na matukio ikiwezekana tutaje platforms zijulikane na zakitapeli zajulikane machinga waanze uza bidhaa zao.

Serali itufunguli Gateways kama Paypal na zingine tutafute masoko nje tupokee pesa kutoka nje tuache kuwa Taifa la ajabu
 
Unatoa ushauri kwa hawa machinga wetu ukituma hela ya mzigo na yy anaituma kwa mwajuma ndala ndefu wakutane kona bar bado sana
Ndio maana nikasema watumie platform zenye escrow hapa kwetu zipo nishazitumia kufanya manunuzi hawa machinga wanazikataa kwasabu zinazuia udanganyifu nfano nataka kununua viatu kwa Machinga pesa itahama kutoka kwenye accout yangu kwende kwenye account ya machinga kisha Mchinga ananitumia Vitu nikisha pokea viatu na confirm nimepokea machinga anaweza kutoa hizo pesa kwanjia ya simu ugumu ukowapi?
 
Wabongo wanapenda kujadili mambo ya kijinga wakati wanamatatizo kibao wengi wajuji baadhi ni matapeli ukileta uzi Kama huu utawapata wachache Kama unabisha njoo nauzi wa kijinga utapata Watu wengi wakuchangia ujinga
 
Soma vizuri kilichoandikwa kabla ya kutukana Watanzania bilakuacha ujuaji tutabaki nyuma ,hii kiwahili itakuja kuonekana ni lugha ya watu wajinga.
Kwenye suala la kukutoza hela kwenye group la Facebook ni sahihi. Siyo kazi rahisi kuanzisha group Facebook na ukapata watu. Shida ya watu wengi tunapenda sana vya bure.
 
kitu cha 1,000 uuze mtadaoni kweli, em jarib kua realistic achana na umotiveshen spika
kama machinga kweli wanauza bidhaa za buku buku wanapoteza muda ningumu kutoka kimaisha wanapaswa kuelimishwa jinsi ya kutumia smartphone zao kupunguza msongamono katikati ya miji na kuuza bidhaa online ili waondokane na umachinga sidhani kama umachinga ni sifa mzuri mtu kuitwa machinga.
 
Kwenye suala la kukutoza hela kwenye group la Facebook ni sahihi. Siyo kazi rahisi kuanzisha group Facebook na ukapata watu. Shida ya watu wengi tunapenda sana vya bure.
Iko hivi Facebook wametoa access kwa kila mtu kufungua groups kwa malengo tofauti ikimo kutangaza biashara sio kuomba tozo maana yake nini ukitengeza group lako ukapata watu tafuta biashara tangaza pale upate pesa pia usitie password kwa watu wengine kwasabu groups ni bure ndio maana hakuna nfumo wa kutoza pesa za kupost biashara kwenye Groups.Ukita kupata pesa za matango tengeneza platform ya kwako ya matango ghramikia lipia kodi tangaza sehemu mbalimba upate wateja upate pesa za matango hii sio akili kabisa ni sawa na watu wanatoza pesa kwenye fukwe za Serekali au kwenye parking za maegesho za bure
 
Nimekusoma vipi kuhu utapeli mtandaoni unatoa rai gani kwa machinga na Watu wote wapenzi na wadau wa online business
 
HOW TO MAKE MONEY ONLINE
Kuna njia nyingi za kutengeneza pesa mtandaoni
1. Unatengeneza group kwenye mitandao ya kijamii. Group lilikiwa na member wengi unaweza ukaliuza au watu ambao wanahitaji kupost biashara zao, unawatoza hela
2. Ukatengeneza blog ukauza au ukajiunga na matangazo au ukawa unatoza watu hela kupost matangazo yao
3. Ukatengeneza YouTube channel kama MilardAyo kisha ukawa unawatoza watu hela kuwapostia matangazo yao.
Platform zote hizo ni bure kwanini wanatoza hela? Watu wanahangaika kuunda magroup, youtube channel na blog ili kujiingizia hela. Tupo ulimwengu wa capitalism.
 
SAHIHI.
 
Nimekusoma vipi kuhu utapeli mtandaoni unatoa rai gani kwa machinga na Watu wote wapenzi na wadau wa online business
Utaeli upo mwingi sana ila sio hapa kwetu tu ni Dunia nzima kuna utapeli na kuna mateli wamebobea kwaiyo basi Usigope tapeli hata siku moja nduzangu ogopa jambazi kibaka na makundi mengi kama ya kuteka watu ukifatilia hapa kwetu kuna utapeli wa kijinga sana mitandaoni na mitandao inagoza ni facebook inta na whasupp.
WATU WANATAPELIWA VIPI
Unakuata mtu kapost bidhaa zake pale Facebook inta na kwenye magroup ya whatspp wamejaa picha za bidhaa fake

unakuta mtu kaweka bei zake pale wengine wanaweka bei ndogo sana ilikuwavutia watu wengine wanaweka bei kawaida ukimwambia nataka bidhaa zako wanaongea lugha mzuri sana mwisho atakupatia namba yake ya simu anakuambia nitumie pesa ya usafiri mzigo ukifa unitumie pesa ya mzigo hakuna nfanya biashara anaweza kumpa option hii mteja wake hata sikumo .
NINI KIFANYIKI KUTOKOMEZA UTAPELI
Ukisoma vizuru kwenye uzi wangu hapo juu nimezungumzia kuhusu Platforms za kwentu ambazo zinaenda na mazigara ya kwetu ili kuondoa udanganyifu muuzaji iliapokee pesa kutoka kwa mnunuzi anapaswa kuwa na vifu vifuavyo
1.Company au Business name imesajiliwa kisheria na Brela
2,Awe na TIN namba inasoma jina la biashara au Company lilosajiliwa na Brela
3.Awe na Leseni ya Biashara inasoma jina lilelie lililo sajiliwa na brela
Mimi na wewe ningu kumuuliza muuzajia au kumwambia akutumie TIN ungalie au Leseni nigumu nanikosa kusamba hizo documents mitandaoni pia mtu anaweza kukutumia bado zakawa fake
Akikisha unamtumia muuzaji mwenye company au business jina la biashara lifanane na account ya malipo.
Jina la Bishara nfano Similar Traderes
Namba ya simu 0712458899 jina limpokea ni Similar Traders
au Ac ya Bamk 99000000 Jina la Account ni Smilar Traders
kwanji hii ningumu kutapeliwa, naju kuna biashara nyingine sio za utaeli lakini lakini hawatu vigezo wapaswa kujiunga kwenye platform ambazo zimesajiliwa na zinatabulikana kisheria ambaozo wana zinakupa access ya ku post biashara yako kisha wanauza wao pesa zinaingia kwenye account zao kisha wanakulipa mwenye biashara comission Agency
wao wanalipa kodi serekali watalipa kodi wapata comission yao kisha watakulipa pesazako baada ya muuzji kumtumia mzigo mnunuzi au kuwatumia wao ili wamtumie mnunuzi hii ni njia pekee
 
Ushauri mzuri. ila watanzania hao hao uliosema wanajifanya machinga kumbe wanachoma watu visu na kuchomlea watu simu ndio wezi wakubw awa mitandaoni. Atapost anauza viatu unachagua anakwambia tuma hela kisha ana kublock anaendelea na maisha mengine. Ama unaagiza kiatu cha ngozi unalipia then anakutumia cha kichina. Tanzania UAMINIFU NI BIDHAA ADIMU bado hatujafikia level ya kufanya bishara hizo DIGITAL MARTEKING wala online business
 
HOW TO MAKE MONEY ONLINE
Kuna njia nyingi za kutengeneza pesa mtandaoni
1. Unatengeneza group kwenye mitandao ya kijamii. Group lilikiwa na member wengi unaweza ukaliuza au watu ambao wanahitaji kupost biashara zao, unawatoza hela
2. Ukatengeneza blog ukauza au ukajiunga na matangazo au ukawa unatoza watu hela kupost matangazo yao
3. Ukatengeneza YouTube channel kama MilardAyo kisha ukawa unawatoza watu hela kuwapostia matangazo yao.
Platform zote hizo ni bure kwanini wanatoza hela? Watu wanahangaika kuunda magroup, youtube channel na blog ili kujiingizia hela. Tupo ulimwengu wa capitalism.
Mkuu umechanganya mada umeleata mifano ya mada mpya tofauti na kinachozungumzwa mtu kama MiradAyo kawekeza mtaji mkubwa sana sema nini yeye anatumia platform kama YouTube kuwafikia watu grama za matangazo za MiradAyo nikubwasa sana sio kwa level ya Ujasiriamali au Machingu wewe mwenye Group hapo Facebook na whatspp umewekeza nini?

Kunwatu wanafungua magroup kwajili ya kufundisha ujasiliama wanatoa mafunzo kama nikutengeza keki au mandazi anaanda kipindi chake kupitia kwenye group la whaspp au facebook anatoza pesa sio kwajili kutumia group au ktangaza yeye anatoa elimu ya ujasiriamali anayokupatia ule ndio mtaji wake kawekeza pale .
 
Back
Top Bottom