Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

Wazo zuri Sana lakini bado. Hii inafaa kwa jamii iliyocivilized plus uaminifu tele
 
Wazo zuri Sana lakini bado. Hii inafaa kwa jamii iliyocivilized plus uaminifu tele
Jamii kutakuwa civilized sioni kama ni kikwazo cha online business, kikwazo ni mentality za watu kuamini kwamba online business ni utapeli bila kujua ya kwamba kuna matapeli wanatumia online business platforms kufanyikisha nio zao ovu za utapeli,kumbuka mateli hata mtaani kwenye maduka majumbani kila sehemu wapo tupaswa kutumia akili kutambua utapeli bila kuuliza mtu au kuambiwa na mtu.

Tukikariri hivyo bila kutumia akili tutabaki kama watu kale,ukifanya utafiti hapa bongo naweza kusema hakuna matapeli bali uelewa wetu ni ndogo kwenye online business ,nfano watu tunawaita matapeli wa mtandaoni sidhani kama wanasifa hizo ni ujinga wetu sisi wenyewe

unakuta mtu kaweka picha za nguo au picha za vifaa vya ndani kwenye page yake ya facebook au insita twitter na kwingineko kaweka bei fulani za kizushi, wengine wanajifanya wanakopesha eti wanatuma hadi mikoani, ukimwambia sawa nataka bidhaa zako anakuambia utaratibu tuma pesa ya usafiri kwenye namba hii jina ni Juma Hassani tuma na yakutolea kisha nikutumie mzigo wako, ukifika utanitumia pesa yangu, hawa mimi siwezi kuwaita matapeli japo kuwa sina jina zuri la kuwaita ila sio matapeli labda ni wahuni tu.pia wanaotapeliwa ukiwachunguza vizuri sellers na buyers utangundua wote leongo ni moja kuumizana sema muuzaji ana karata nyingi kuzi mnunuzi.

Kuna platform nyingi mzuri sana tunaweza kuzitumia kufanya biashara za online kulingana na mazingira yetu tuliyonayo kilakitu kikaenda vizuri, nfumo wa buyers, Admin, Sellers, ni mfumo sahii kwetu bongo kulingana jamamii kutokuwa civilized, lakini tukikariri kuwa biashara za mtandaoni ni utapeli tutabaki kama watu wa kale kujazana kwenye magulio na kusafiri kwenye mabasi kutumia garama kubwa bila sababu bila kujali muda.

malipo ya online yanafanyika kwanjia ya bank au simu kwa kuchagua kampuni, unafanya malipo sio jina la mtu au namba ya simu ya mtu binafsi,ukiona jina la kampuny liko kwenye menu ya simu au kampuni inamiliki account namba kwa jina lake ujue vigezo vya kupokea pesa online vimezingatiwa uwezi tapeliwa hata mia.
 
tatizo uelewa ndogo kila mtu mjuaji
 
Well said comred! kuna apps inaitwa peer vendors iko play store iko nchi zaidi ya 50 duniani imetoa fursa yakutosha kuanzia elimu,kutangaza biashara yako on line,kuuza professional yako, na mambo mengi .iko USA,NIJERIA,CAMEROON na hiz nchi za africa masharik. ni fursa sasa kuitumia na ni bure kabisa kujisajili na kujitangaza. ipo mpka sehem ya serikali kutangaza ajira pia.
 
Ziko nyingi nfano hii imetengenezwa kwa mazingira ya kibongo imesajiliwa bongo ningumu mtu kutapeliwa wekeni biashara zanu uza pokea pesa kopa miko kila kitu kipo Buy or Sell Anything Yourself With Either Auction or Without Auction.
 
IQ yako kubwa sana huu uzi hii ni kabla ya kuungua soko la kalume na soko la mbagala hawa walengwa akili zitawakaa ukiangalia sio kwakasi hii ya kuungua masoko.

uelewa wa Tanzania ni ndogo sana kwenye mambo hizo,waliowengi akili zao ni dongo mno itachukua miaka mingi sana labda akili itawasoge kutokana na kuungua kwa masoko
 
YAANI HATA AIBU HAUNA UNASEMA UMACHINGA SIO SIFA NZURI HAAA NGOJEA NICHEKE HAKIKA BORA UNYAMAZE MAANA KWA KIONGEA KWAKO TUMEJUA UPEO WAKO WA AKILI UPO CHINI KIASI GANI,
 
SHIDA YENU MNAOMGEA KAMA MNAJUA MNACHOKIONGEA HETI KAMA MILADIAOYO, UNAJUA MILADI ALIANZA JE MPAKA KUFIKIA HATUA YA KULIPWA, AU NIAMBIE WEWE UNALIPA NA NANI WAPI MA UNALIPWA JE
 
Hawa machinga wa mtandaoni ni wachuuzi sanaa wana double bei ya bidhaa
 
Jifunze kuandika vizuri. Kutumia maneno yenye herufi kubwa ni sawa na mtu anayepayuka.
Kutengeneza pesa mtandao kunahitaji kutumia akili na uwe mvumilivu.
Hizo njia nilizoandika ndiyo watu wanatumia kutengeneza pesa mtandao nikiwemo mm
Shida ya vijana km wewe unatengeneza leo blog, kesho unataka uingize hela. Utapata hasira nyingi sana km ulichoandika.
SHIDA YENU MNAOMGEA KAMA MNAJUA MNACHOKIONGEA HETI KAMA MILADIAOYO, UNAJUA MILADI ALIANZA JE MPAKA KUFIKIA HATUA YA KULIPWA, AU NIAMBIE WEWE UNALIPA NA NANI WAPI MA UNALIPWA JE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…