Machinga waandamana Mwanza leo

View attachment 1984505

Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
Ninutaratibu tuu. Ccm iliwalea vibaya hawa jamaa.
Hakuna umachinga wa kuweka meza na vibanda.. Watembeze mizigo yao. Wanao weka meza ni wajasiria mali sio wamachnga
 
View attachment 1984505

Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
Acha upumbavu,kwamba machinga wa Mwanza ndio spesho Sana sio,kila kitu lazima kiwe kwenye utaratibu..

Mikoa mingine machinga wameheshimu mpango wa serikali sasa hao wa huko veepe?
 
Wawape tu kichapo mtetezi wao alishafariki yupo peponi sasa hivi anasikitika tu watu wake wanavyoteseka.
Hakuna ambaye angeweza kuandamana enzi zake. Sasa hivi inawezekana watu wakaanza kuandamana andamana.
 
Huko si ndiko wakikompigia kura nyingi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…