Machinga waandamana Mwanza leo

Machinga waandamana Mwanza leo

Kibanda kikijengwa juu ya mtaro wewe kinakuzuia nini kufanya maisha yako?
Na usafi wa hiyo mitaro unafanyikaje? Angalia uchafu ulikuwa ushakuwa kero. Hakuna namna ndugu hili jambo halitaki hasira,tukubali Magufuli mpenda sofa aliwajaza upepo ili mtaji wake kisiasa Ila lilikuwa ni tatizo.
 
Yupo mahala pema peponi anaona usaliti unaoendelea
Tupe maana ya usatili kwanza na utuambie msaliti ni yupi, mzalendo maslahi binafsi au mzalendo was kweli na utuambia mzalendo wa kweli na yule maslahi binafsi.
 
Kinajengwa juu ya mtaro na choo hapo hapo mtaroni, ndio maana hata vipindupindu ni tatizo kwetu.
Mara ya , mwisho kusikia kipindupindu ni lini?
Watu , naoishi kwa shemwji ni shida
 
Yule mzee aliwapenda kwa dhati watu wa hali ya chini...alipenda kuona wakipata ugali wao bila bugdha...
Kuwapenda watu wa chini hakumaanishi sheria za nchinzipindishwe ili kundi flan lifaidi lingine liumie. Sheria lazima ifuatwe na makundi yote. Haijalishi hali zao

Mzee alikuwa mjanja sana.. alijua jinsi ya kuwaonjesha na akawaaminisha kuwa wao ni spesho.
Matokeo ndio haya. Hawana pa kulaumu
 
Siku ya Jana 22 October 2021 wafanyabishara wadogo Mwanza


Source : Wasafi Media
 
Walizoea vya kunyonga..
Mbona fremu zimejaa mtaani wakafanye biashara huko
 
Kwamba mama yao atarembua na kubana sauti atasema waachwe tu,
Ile michezo yao yakutengeza tatizo badae unalitatua unakua legacy ..[emoji3][emoji1]
Mama yako ndio anarembua?
 
Back
Top Bottom