Jini ni bibi yako?Bado Wana mawenge ya upendeleo ambao yule jini wao alikuwa aliwapatia.
Hakuwapenda. Yeye ndiye aliyefanya wamachinga waongezeke kwa kuwanyima wasomi wetu ajira!Yule mzee aliwapenda kwa dhati watu wa hali ya chini...alipenda kuona wakipata ugali wao bila bugdha...
Wamepewa kibali ?View attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
Ya magufuli yamekwisha ya kuruhusu watu kufanya biashara kihuni Bila utaratibu maalum sasa tuko kwenye zama za kufuata sheria na utaratibu wa kufanya biashara huwezi kuruhusu biashara mbele ya maduka ya walipa kodi au kwenye njia za watembea kwa miguu ukasema ni utetezi kwa wanyonge.View attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
Huko ni kujidanganya.Meku inakuwaje tena Chadema mnakuwa na bifu na wamachinga?
Au kwa kuwa walisimama na mtetezi wao? Chadema hamjawi kuwa na akili.
Kwa kuwa umeajiriwaa, ndio maaana unabwabwaja tuuuNinutaratibu tuu. Ccm iliwalea vibaya hawa jamaa.
Hakuna umachinga wa kuweka meza na vibanda.. Watembeze mizigo yao. Wanao weka meza ni wajasiria mali sio wamachnga
wewe peponi utaenda?Peponi hawezi kwenda yule kiongozi wa shetani aina ya kina Sabaya na Bashite.
Wake moto na MaCCM yote..
Hawa walikuwa mtaji mkubwa wa chadema kabla ya 2016 walitumika kwenye kila maandamanoView attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
Sawa lakini kumbuka peponi hawaendi makatili na wenye roho mbaya.Pepo siyo kwa babu yako!
magufuli aliwatetea kwa maslahi yake binafsi ili wampe kura, akijua ataongoza milele. Matokeo yake kafa.View attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
View attachment 1984505
Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
MACHINGA's = Marching GuysNinutaratibu tuu. Ccm iliwalea vibaya hawa jamaa.
Hakuna umachinga wa kuweka meza na vibanda.. Watembeze mizigo yao. Wanao weka meza ni wajasiria mali sio wamachnga