Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Oct 24, 2021 #81 Machinga wanamlilia marehemu badala ya kulilia katiba mpya itakayojenga taasisi imara na sio mtu imara ambaye anaweza kutwaliwa na kifo muda wowote.
Machinga wanamlilia marehemu badala ya kulilia katiba mpya itakayojenga taasisi imara na sio mtu imara ambaye anaweza kutwaliwa na kifo muda wowote.
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Oct 24, 2021 #82 sonofobia said: View attachment 1984505 Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa. Click to expand...
sonofobia said: View attachment 1984505 Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa. Click to expand...