Ilikuwaje sasa mkaweka wagombea kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani? Pumbavu!Kichaa mwingine huyu hapa, eti "kazi ngumu ya kumrudisha tena 2020". Hivi 2020 kulikuwa na uchaguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpm alikua na file mirembe,Umenisikitisha mno kwa comment hii
Hakuna cha mtetezi wa wanyonge machinga ktk barabara ni sawa na uchafu kama ulivyo uchafu mwingine.Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.
Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali.
Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
Sijui hata wanaowatetea kwa nini? Mpaka Kariakoo centre. Nenda Mbezi mwisho pale vurugu tupu.Road reserve wameharibu sanaaa nimeliona baadhi ya maeneo walikotolewa, wamechimba, wameweka zege ni hatari tupu
Act washabeba kiti mkuuNaona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.
Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali.
Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
Kwa hiyo upinzani ikishinda uchaguzi itawaruhusu machinga kupanga bidhaa barabarani?Naona dalili za sisiemu kupoteza uchaguzi ujao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee wa dakika 90 atapindua meza sio?Act washabeba kiti mkuu
Wakati upinzani wakitumia formula ya BODMAS chama cha majizi wanatumia formulas za CALICULAS!Hakunankitu kama hicho mkuu, kwani ushindi wa CCM, wala hautegemei kura za wananchi, wao wana fomula zao, ambazo hazionyeshi njia bali ni jawabu tu.