Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Ingekuwa enzi za JK hapo wanamwagwa FFU kibao then kila mtu ataenda hospital kwa wakati wakeMachinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa
PichaMachinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa
Tafuta chanzo na muitikio ulikuwaje?Ukiandika tu kuhusu mirusho ya mawe wote tutakwama.Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa
Utamwaga wangapi?Ingekuwa enzi za Jk hapo wanamwagwa FFU kibao then kila mtu ataenda hospital kwa wakati wake
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Karata zinachangwa.Au gwajima kawapa kichwa Sio!!?
"Machinga wapangwe wasifukuzwe"
Ni Kweli. Vyanzo vyangu vinathibitisha Hilo.Tafuta chanzo na muitikio ulikuwaje?Ukiandika tu kuhusu mirusho ya mawe wote tutakwama.
Ukiandika tu "ni kweli" kwamba vyanzo vyako vimethibitisha bado unakwama.Sababu ni nini?Walitafuta suluhu?Ikawaje hadi uamuzi iwe kurusha "majiwe"?Ni Kweli. Vyanzo vyangu vinathibitisha Hilo.
AIsee umeongea ukweli kabisa mkuu inaudhi sana aisee,hiyo tabia ya hovyo sanaSerikali inawalea sana hawa wapuuzi.
Ulishaona wapi mtu anafanyia biashara barabarani.
Umkamate MJUMBE wa NEC?Msukuma na Gwajima PhD za Mchongo wakamatwe mara moja
Kuhusu sababu na Suluhu hayo yatajulikana baadae.Ukiandika tu "ni kweli" kwamba vyanzo vyako vimethibitisha bado unakwama.Sababu ni nini?Walitafuta suluhu?Ikawaje hadi uamuzi iwe kurusha "majiwe"?
Sawa.Umeungana nao kurusha mawe au bado unaandika mkuu?Kuhusu sababu na Suluhu hayo yatajulikana baadae.
Bt kuhusu kuwepo tukio Hilo ndo nimethibitisha kupitia vyanzo vya kuaminika.