Au gwajima kawapa kichwa Sio!!?
"Machinga wapangwe wasifukuzwe"
February 4, 2023
Mwanza, Tanzania
MNEC wa CCM mbunge Dr. Mchg. Gwajima atoa agizo akiwa Mwanza " Mnawapiga Machinga na kuchukua Nyanya na Vitunguu vyao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au gwajima kawapa kichwa Sio!!?
"Machinga wapangwe wasifukuzwe"
MSIMAMO MKUU WA MKOA MWANZA MACHINGA KURUDI MJINI! TUACHE SIASA !
Bw. Adam Malima mkuu wa mkoa wa Mwanza maeneo yapo maalum kwa machinga ili waweze kutoa huduma bora.
Mkuu wa mkoa anasema Nafahamu kuna watu wameshategeneza namna kwa kuandaa waandishi wa habari halafu kuanzisha vurugu kipindi cha Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma ili kumtikisa mwenyekiti wa CCM taifa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan.
Mkuu wa mkoa anaoongeza kuwa jiji la Mwanza ni kubwa sana hivyo si vizuri na haiwezekani wamachinga kuweka sehemu moja inabidi kila kitongoji kuwa na sehemu maalum ya ajili ya masoko, sehemu za machinga na mitaa ya maduka kwa ajili ya kutoa huduma kwa wakazi wa jiji kubwa la Mwanza.
Mkuu wa mkoa awaasa wamachinga kuwa makini wasitumike vibaya na baadhi ya watu wanaotengeneza matukio ili kuyumbisha serikali ya rais Samia Suluhu Hassan.
Hayo yamejiri leo tarehe 22 December 2022 wakati mkuu wa mkoa wa Mwanza akizungumzia katika kikao-kazi baina ya serikali na viongozi wa machinga kuhusu hali ya jiji la Mwanza na mkakati wa kuufanya mji wa Mwanza kuwa umepangika na kuleta fursa mbalimbali ambazo majiji mengine duniani yanafaidi ikiwemo utalii, makao makuu ya makampuni makubwa, biashara na mji wa kisasa wenye makazi yanayoeleweka.
Zao la muovu Jiwe.Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa.
====
Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, katikati ya Jiji la Mwanza.
Sababu hawana maeneo ya kufanyia biasharaSerikali inawalea sana hawa wapuuzi.
Ulishaona wapi mtu anafanyia biashara barabarani.
Kumbe mwanza kuna maghorofa yaliyochipuka katikati ya hayo majumba yenye paa za mabati ya kutu?Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa.
====
Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, katikati ya Jiji la Mwanza.
Machinga ni zao la serikali hivyo inawajibika ilibebeAIsee umeongea ukweli kabisa mkuu inaudhi sana aisee,hiyo tabia ya hovyo sana
Kwamba mkuu wa Mkoa alikuwa anajua kinachoendelea.
Ngoja tuone.
Mbona kuna wakati waliondolewa wote kabisa?Wamerudi wanapanga mbele ya maduka ya watu wanaziba njiaa yan changamoto sanaa,,ni heri wangeweka utaratibu asbh na mchana wasipange vitu,warudi jion amaa usiku aiseeee ni changamoto mwanza kwa sasaa
Imeamua tu kuwalea hawa jamaa, sasa jiji zima kubwa vile town kabisa unakuta mtu kaweka shanga vikombe mabeseni barabarani anauza..Serikali inawalea sana hawa wapuuzi.
Ulishaona wapi mtu anafanyia biashara barabarani.
Yes ni uzembe wa serikal plus siasa ila wangekua wanarud jion sio mchana ilawao sasa asbh na mapemaa wanapanga vitu ndan ya stend ya daladala inashangazaMbona kuna wakati waliondolewa wote kabisa?
Uzembe wa serikali ndo maana wamerudi