Tetesi: Machinga wafunga barabara huko mwanjerwa mbeya

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Nasikia Mbeya Mnafunga Barabara Mida hii Wafanyabiasha Wadogo ( Wamachinga) Mitaa ya Mwanjelwa Mbeya Tunaomba tujuzeni Maana wengine Tupo Mbali ila Biashara zetu zipo Huko
 
Mbona hao jamaa siku hizi ni kawaida tu !!. Mwz parking zote wamepanga bidhaa zao.
 
Back
Top Bottom