Machinga wanapangwa Dar es Salaam

Machinga wanapangwa Dar es Salaam

E38EB53C-1952-422C-A482-9EC69C0855F7.png
Kama hata yatafanyika kwa hata50% jiji litakua safi sana
 
Inatakiwa aidha wafute barabara moja iwe ya kibiashara (machinga) au wahamisge matumizi jengo wawape machinga....

Kumbuka anae pangwa samaki ng ombe mbuzi na kuku lkn binadamu hapangwi...
Dah nigger. Halafu kuna reli ya kisasa ya treni ya mwendo kasi ya umeme.
 
Hili jambo litafeli ni suala la muda tu maana machinga wanajiona kuwa ni kundi maalumu Sana
Namna pekee ya hili kushinda ni wao wamachinga kuwa sehemu ya kudhubiti wenzao watakaokuwa wanavunja taratibu, kwa kushirikiana na vyombo vya sheria. Hawa wanatafuta riziki ila akili zao wanazijua wenyewe
 
Haya ndio mazao ya uoga na siasa za Yule jamaa aliekuwa hajiamini ktk uongozi wake .ni gharama kubwa mbaya ametuachia Hilo zao la wamachinga ni bomu litkapo ripuka itakuwa balaaa
Hao machinga wapo miaka nenda rudi na hakuna raisi aliweza kuwatoa
Tokea kipindi Cha mkapa Hadi Leo wakuu wa mikoa wote walichemsha, akina ditopile, makamba, wote hao walichemsha kwa machinga. Labda serikali itumie jeshi
 
wajenge bustani tu maeneo mengi so wamachinga wataondoka wenyewe tu tizama pale kuanzia jangwani hadi swiss tower wameanza kujenga viambaza machinga wote wamesepa na vibanda umiza vyao
 
Back
Top Bottom