Duuh Kama hauko eneo la tukio au sio muhusika au mhanga wa Hilo zoezi ni Kazi Sana kujadili ufanisi wa Hilo Jambo.Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika. Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia wanarasimishwa, na wataweza kupata huduma za kifedha na kuwa sehemu salama zaidi.
Rais Samia Suluhu amewajali wamachinga.
madai yako bila picha ni batiliAisee huu utawala kweli kuna watu wanalamba asali, yaani ujenzi ule wa soko la machinga ndio sawa na BILIONI 9????.
Hivi kwanini mnamdharau sana sa100 lakini.
Weka picha
Wamachinga sasa wanakua wafanya biashara rasmi watakopesheka kama wafanyabiashara wengi sasa hapo shida iko wapi bro Rais Samia Suluhu anaendelea kuupiga mwingiDuuh
Duuh Kama hauko eneo la tukio au sio muhusika au mhanga wa Hilo zoezi ni Kazi Sana kujadili ufanisi wa Hilo Jambo.
Kwaio hili ndo soko la bilioni 9 alizosema mdau hapo juu?View attachment 2401283
Wamachinga wameanza kulamba asali acha tuseme Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi
Soko ni la kisasa mzee pita pale ulione Rais Samia Suluhu anahakikisha anaboresha mazingira ya kufanyia biasharaAisee huu utawala kweli kuna watu wanalamba asali, yaani ujenzi ule wa soko la machinga ndio sawa na BILIONI 9????.
Hivi kwanini mnamdharau sana sa100 lakini.
Nimejiuliza swali kama hilo pia.Aisee huu utawala kweli kuna watu wanalamba asali, yaani ujenzi ule wa soko la machinga ndio sawa na BILIONI 9????.
Hivi kwanini mnamdharau sana sa100 lakini.
Issue sio hiyo 9Billion with a capital B....Mimi nawaza hao Machinga watakua wanafanya Biashara ipi kurudisha hiyo Investment na kwa muda gani!?Aisee huu utawala kweli kuna watu wanalamba asali, yaani ujenzi ule wa soko la machinga ndio sawa na BILIONI 9????.
Hivi kwanini mnamdharau sana sa100 lakini.
Chuma na Bati= 9 Billion? Au plus plot ya 800m (in NSSF Valuation)?View attachment 2401283
Wamachinga wameanza kulamba asali acha tuseme Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi
Naona kama mabanda ya kuku tuKwaio hili ndo soko la bilioni 9 alizosema mdau hapo juu?
Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika.
Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia wanarasimishwa, na wataweza kupata huduma za kifedha na kuwa sehemu salama zaidi.
Rais Samia Suluhu amewajali wamachinga.
Picha mdau kaweka hapo chini, yaani ni machuma chuma tu yamechomelewa yakawekwa paa kwa juu chini paving...baasi, yaani pale hardly kama imetumika bilioni 3 na zikaisha!madai yako bila picha ni batili
Mkuu labda kama na wewe ni mnufaika wa huo mradi ila hakuna ujenzi wa bilioni 9 pale!Soko ni la kisasa mzee pita pale ulione Rais Samia Suluhu anahakikisha anaboresha mazingira ya kufanyia biashara
Mkuu wapo kisiasa zaidi,Idadi ya wamachinga inaogezeka mara mbili au zaidi kila mwaka.Issue sio hiyo 9Billion with a capital B....Mimi nawaza hao Machinga watakua wanafanya Biashara ipi kurudisha hiyo Investment na kwa muda gani!?
Facilities kama hizo zinajengwa Dar,Iringa,Tunduma na Mwanza.Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika.
Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia wanarasimishwa, na wataweza kupata huduma za kifedha na kuwa sehemu salama zaidi.
Rais Samia Suluhu amewajali wamachinga.