Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
OkHuwezi tenganisha machinga na stendi
Umepiga picha kiuogaaaaPamoja na Kampeni iliyogharimu pesa nyingi ya kuhamisha machinga sehemu maalum. Kwa Sasa wamerudi upya wakiupiga mwingi
View attachment 2221705
Mutching? Hilo neno ndio mara yangu ya kwanza kulisikia na sidhani kama ni neno la english.Machinga inatokana na neno mutching guy , ni mchuuzi anaetembea kufuata wateja walipo, hasa ukimjengea soko atauza tu kibanda aendelee kutembea ndio maana leo yuko mwanza, kesho kaitwa na wenzake chunya kabeba vitu kariakoo kalianzisha na keshokutwa yuko mwenge au karume ndio maisha yake
Halafu jaribu kumwambia mtu mfano atoke kwa nafasi yake aliyoteuliwa arudi alipokuwa atakuua sema wanadhani chinga wao sio binadamuAcha zako, kama mafisadi wamerejea kwann machinga wasirejee.
Ghorofa ni hostel na sio sokoSawa na majengo ya masoko ya ghorofa utamaduni wa mtanzania hapendi kupanda magorofani anaona usumbufu kwanza hivo masoko yanageuka kua magofu tu
🤣🤣Halafu jaribu kumwambia mtu mfano atoke kwa nafasi yake aliyoteuliwa arudi alipokuwa atakuua sema wanadhani chinga wao sio binadamu
Wanaitwa na watumishi wa umma ili walipwe posho kwenda kuwatoaPamoja na Kampeni iliyogharimu pesa nyingi ya kuhamisha machinga sehemu maalum. Kwa Sasa wamerudi upya wakiupiga mwingi
View attachment 2221705
Point tupu umeongeaHalafu jaribu kumwambia mtu mfano atoke kwa nafasi yake aliyoteuliwa arudi alipokuwa atakuua sema wanadhani chinga wao sio binadamu
Point tupu umeongea
Ngumbaru ndo zetu.Mutching? Hilo neno ndio mara yangu ya kwanza kulisikia na sidhani kama ni neno la english.
Hebu check tena vizuri