Machinga warejea upya Mwenge

Machinga warejea upya Mwenge

Mama ukicheka na Nyani...
Waafrika bila kuburuzwa huwa hatuheshimu Mamlaka! Ngoja tuone
 
Zilikuwa propaganda tu kusema et wametoka kwa hiari.

Maeneo kama Makoroboi kwa Jiji la Mwanza machinga huondolewa kwa mabomu toka enzi za RC Mashishanga halafu leo watoke kirahisi hivyo!😁.

Watarudi maeneo yote ya awali labda pajengwe kambi za jeshi.
 
Back
Top Bottom