A Anonymous Guest Nov 19, 2024 #1 Machinjio ya Kimara yanatupa wakati mgumu majirani. Maji yanoyotiririshwa kwenye mitaro yanafanya uchafuzi wa hali ya hewa. Serikali iangalie upya suala hili
Machinjio ya Kimara yanatupa wakati mgumu majirani. Maji yanoyotiririshwa kwenye mitaro yanafanya uchafuzi wa hali ya hewa. Serikali iangalie upya suala hili
M Mwizukulu wa Buganda Member Joined Nov 19, 2024 Posts 94 Reaction score 307 Nov 21, 2024 #2 Haya mambo huwezi kuyakuta Uganda.