KERO Machinjio ya Kimara yanatiririsha maji kwenye mitaro na kuchafua hewa

KERO Machinjio ya Kimara yanatiririsha maji kwenye mitaro na kuchafua hewa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Machinjio ya Kimara yanatupa wakati mgumu majirani. Maji yanoyotiririshwa kwenye mitaro yanafanya uchafuzi
wa hali ya hewa.

Serikali iangalie upya suala hili


1000003917.jpg
 
Back
Top Bottom