Machinjio ya nguruwe

Machinjio ya nguruwe

Status
Not open for further replies.

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
Naomba kujuzwa kwa hapa dar machinjio yako wap naitaj uza nguruwe wangu
 
Naomba kujuzwa kwa hapa dar machinjio yako wap naitaj uza nguruwe wangu

Naamini unamaanisha na si kwamba unataka ukalipue, Mbezi kibanda cha mkaa, ukishuka kama upo kwenye usafiri wa Jumuia unarudi nyuma kidogo then unapinda kulia,karibu na kanisa la Kilutheri, ulizia machinjio ya kitimoto (jamaa mwenye machinjo anmaitwa Kiliwe)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom