Naamini unamaanisha na si kwamba unataka ukalipue, Mbezi kibanda cha mkaa, ukishuka kama upo kwenye usafiri wa Jumuia unarudi nyuma kidogo then unapinda kulia,karibu na kanisa la Kilutheri, ulizia machinjio ya kitimoto (jamaa mwenye machinjo anmaitwa Kiliwe)