mkuu inaweza kua dalili mbaya?Sina la kusema ila sali sana ndugu.. Yani we sali mno usichoke we sali tu maana haujui siku wala saa watakapoamua kutimiza azima Yao!
Mkuu acha kuuliza maswali anza kusali wewe.. we sali tu..πmkuu inaweza kua dalili mbaya?
Mkuu acha kuuliza maswali anza kusali wewe.. we sali tu..
mkuu haipendez kufanya kejeli kwenye mambo muhimuwanamfata chizi mwenzao
ππππ Hivi kenzy unapulizaga Cha wapi arifu..!!!π€£π€£π€£ Walaah umefanya jioni yangu kuwa njema..πππππSina la kusema ila sali sana ndugu.. Yani we sali mno usichoke we sali tu maana haujui siku wala saa watakapoamua kutimiza azima Yao!
comment zingine zinahtaji moyo, mkuu yaani utan tunaofanya kule celebrity unauleta hadi kwenye mambo ya msingi?Jichunguze Vizuri kuna %kubwa na wewe ni Chizi kwaiyo wanakuona na wewe ni chizi mwenzao
Kama ni machizi wa Kike bas uwa unawatafuna mida ya usiku wanapokumiss wanakufata mchana
Huo ni ushauri tu ndugu zanguni kwani nimekosea wapi ili nifute..?ππππ Hivi kenzy unapulizaga Cha wapi arifu..!!!π€£π€£π€£ Walaah umefanya jioni yangu kuwa njema..πππππ
Sali tu jamaniπ€£π€£Huo ni ushauri tu ndugu zanguni kwani nimekosea wapi ili nifute..?
Au namimi nisali tu..?
duhMachizi wangu = washikaji zangu
Nikimwambia awafukuze najua hataweza! Mtakuja kusikia tu habari kuna mtu kafa..Sali tu jamaniπ€£π€£