Machizi wanapenda kuja kwangu

Machizi wanapenda kuja kwangu

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Natumai hamjambo wakuu.

Mara kwa mara machizi wamekua wanakuja kwangu, sasa nachojiuliza wakuu kutembelewa na machizi kuna ashiria jambo baya au ni hali ya kawaida?

Karibuni kwa michango yenu na ushauri pia.
 
Sina la kusema ila sali sana ndugu.. Yani we sali mno usichoke we sali tu maana haujui siku wala saa watakapoamua kutimiza azima Yao!
😂😂😂😂 Hivi kenzy unapulizaga Cha wapi arifu..!!!🤣🤣🤣 Walaah umefanya jioni yangu kuwa njema..😂😂😂😂😂
 
Jichunguze Vizuri kuna %kubwa na wewe ni Chizi kwaiyo wanakuona na wewe ni chizi mwenzao

Kama ni machizi wa Kike bas uwa unawatafuna mida ya usiku wanapokumiss wanakufata mchana
comment zingine zinahtaji moyo, mkuu yaani utan tunaofanya kule celebrity unauleta hadi kwenye mambo ya msingi?
 
😂😂😂😂 Hivi kenzy unapulizaga Cha wapi arifu..!!!🤣🤣🤣 Walaah umefanya jioni yangu kuwa njema..😂😂😂😂😂
Huo ni ushauri tu ndugu zanguni kwani nimekosea wapi ili nifute..?

Au namimi nisali tu..?
 
Sali tu jamani🤣🤣
Nikimwambia awafukuze najua hataweza! Mtakuja kusikia tu habari kuna mtu kafa..
Sa si bora akawasemelee kwa aliewaumba amalizane na viumbe wake kuliko kujitia umwana kulitaka akaja kulipata..😅

Mi ntasali ila sala zangu nawewe ntakuweka Sasa usiulize ntakuweka engo ipi hapo itategemea na nasali kwaajili ya Nini..😜
 
Back
Top Bottom