Machizi wanapenda kuja kwangu

Machizi wanapenda kuja kwangu

Hili nalo la kuuliza ?
Huenda wewe ni mwenzao ndio maana wanakufuata..mbona hawawafuati wengine ni kwako tu..

Hujajijua tu ila na wewe ni mwenzao ..
 
Sina la kusema ila sali sana ndugu.. Yani we sali mno usichoke we sali tu maana haujui siku wala saa watakapoamua kutimiza azima Yao!
Ndege wafananao huruka pamoja..

Soon atawafuata
 
Back
Top Bottom