Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuwa macho yako yanaathiriwa na mwanga, hasa mwanga mkaliNawashwa na macho sana,hii ni week ya 3,,pl msaada pls
Ni miwani yoyote au inabidi nikapime macho kwa ajili ya miwani? Mimi pia nina tatizo hilo hadi sasa na sababu ulizoeleza kama kisababishi naona zinafanana nami kwani hii hunitokea nikikaa kwenye Computer kwa muda mrefu yanaanza kuwasha!itakuwa macho yako yanaathiriwa na mwanga, hasa mwanga mkali
lakini pia inaonekana huoni mbali kwa ufasaha, hivyo kama hautumii miwani unakuwa unazilazimisha neva za jicho (optical nerves) kufanya kazi na hii hupelekea neva ku-overlap, ndo maana unasikia kama kuwasha.!
hata mimi nilikuwa na tatizo kama hili, kwa sasa natumia miwani, na tatizo limeisha..
mimi navaa miwani 0.75, afu iko ''tinted'' hivi kewenye lens zakeNi miwani yoyote au inabidi nikapime macho kwa ajili ya miwani? Mimi pia nina tatizo hilo hadi sasa na sababu ulizoeleza kama kisababishi naona zinafanana nami kwani hii hunitokea nikikaa kwenye Computer kwa muda mrefu yanaanza kuwasha!
Na ni kero kweli kweli kwani inafika wakati mtu mzima unafikicha macho kama mtoto mdogo kwa kweli hali huwa mbaya sana mpaka wakati mwingine hulazimika kuacha kutumia computer kwa muda mrefu hata kama nina kazi za kufanya kwa kuhofia matatizo yatokanayo na matumizi hayo.
Msaada wako plz.
Thanx for caring mkuu, nitajitahidi kufuatilia kwa karibu kwani tatizo tulilonalo wataalamu wa fani ya macho naona bado ni utata. Nimewahi kuhudhuria kliniki fulani nikapewa dawa fulani baada ya kutumia drops hizo kwa muda ilikuwa inanisaidia wakati huo huo nilipokuwa naitumia once ilipokwisha tatizo lilirudi pale pale.mimi navaa miwani 0.75, afu iko ''tinted'' hivi kewenye lens zake
ila wewe unaweza kuwa unahitaji lens tofauti na yakwangu coz tatizo linaweza kuwa limetofautiana ukubwa
nbi vizuri ukimwana daktari wa macho haraka coz nafahamu hilo tatizo ukiliacha utaanza kuona kwenye jicho kama kuna ''dark spot'' hivi, yani kama kuna kitu kimekugandia jichoni kinakuzuia usione vizuri and when it there matibabu yake ni very complicated (SPEAKING FROM PERSONAL EXPERIENCE)
Nawashwa na macho sana,hii ni week ya 3,,pl msaada pls
Nawashwa na macho sana,hii ni week ya 3,,pl msaada pls