Macho ya kinabii yatumike kuboresha vetting zetu nchini

Ngoja tuone...
Franklin D Roosevelt (FDR), alisaidia sana Nchi yake kufikia mageuzi makubwa kiuchumi baada ya vita ya pili ya Dunia.

Kwa tulipofikia sasa,

FDR wetu anahitajika sana.
 
hivi wakuu Kuna muislamu amewahi kujitokeza nakujiita yeyé nimtume wamungu nawatu wakamfuata awaombee?
 
hivi wakuu Kuna muislamu amewahi kujitokeza nakujiita yeyé nimtume wamungu nawatu wakamfuata awaombee?
Wapo watumishi wa Mungu ndani ya uislamu wengi tu.

Mungu ni WA wote, habagui dini.

Nenda kasome (Hesabu 23:1...
..). Kuna kisa Cha Nabii Balamu mpiga tunguri aliyekuwa akiwasiliana na Mungu wa Kweli kupitia uganga,

Hakuwahi kukosea kwenye uganga wake, alikwambia utapona au utakufa ,hutokea sawasawa na alivyosema.

FDR wetu anatakiwa akae mahala pake katika Kila sekta kuanzia ngazi ya family Hadi pale Jumba jeupe.

Ni kheri aaminiye kuliko asiyeamini.

Amen.
 
ungenitajia mmoja wapo mkuu ambae ninabii wakiislamu.

kama walivyo manabii wakiristo mfano mwamposa Joel devo nawengine
 
ungenitajia mmoja wapo mkuu ambae ninabii wakiislamu.

kama walivyo manabii wakiristo mfano mwamposa Joel devo nawengine
Kwa nje unaweza ukadhani hawapo,

Lakini nikuambie HAKIKA, Nchi ya kiislamu kama Syria au Yemen, uwe na HAKIKA watakuwepo manabii wa Mungu wa Kweli wanaomtumikia Mungu wa Kweli Jehova katika uislamu wao,

Kuhusu kukutajia naomba iwe Siri maana tutaanzisha ligi isiyo na mdhamini, Hapa ni jukwaa la siasa.

Tafadhali sana 🙏
 
ungenitajia mmoja wapo mkuu ambae ninabii wakiislamu.

kama walivyo manabii wakiristo mfano mwamposa Joel devo nawengine
Halafu Kila unapotaja manabii, usimjumuishe bull D,na JoeD, hao ni WA UONGO.
 
nitajie pm.namisikiti Yao mkuu
 
Mkuu unajua maana ya Vetting?
Vetting-Screen,assess,evaluate,appraise, weight up,examine,look over,review,consider,scruitnise, study,inspect,investigate,censor,check,ready, check out,check up on,probe,research,look into,delve into,research into,size up nk nk.

Yote hayo yanafanywa vizuri sana Kwa macho ya kinabii, pia inatofautiana jinsi unavyofanya uchunguzi huo Kwa mtoto na unapotaka kuchagua kiongozi wa askari wa kwenda vitani.
 
Polepole inaanza kueleweka. Katika msimu huu mpya na majira haya mapya,

Macho ya kinabii yasipotumika, HASARA itakuwa maradufu.
 
Hapo kwa Pascal![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Pia kuna eneo lingine tunafeli sana;kila kabila Mungu kalipa kipawa chake;wapo waliojaliwa kipawa cha Biashara, uongozi,sheria nk.
Kwaiyo inahitaji macho ya Kinabii kutambua haya,Waisrael wanazingatia sana hili!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tujifunze sana Kutoka Nchi ya Israeli,

Tuwatumie wakulima Toka tumboni Kwa Kuzaliwa, wainuliwe na kupelekwa kupata maarifa ya KILIMO.

Niliona mkungu wa ndizi Israeli una AFYA na urefu zaidi ya futi 5.

Na udongo wa KILIMO walitoa pale Ug!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…