Macho ya kinabii yatumike kuboresha vetting zetu nchini

Katika biashara Wayahudi wanapeana sana support,

Sisi watz tunahitaji kubebana sana kama Watanzania Katika kununua bidhaa za ndani despite quality Ili kuwawezesha wazawa kukua.

Tusione haya kujifunza na kutafiti jinsi Gani watu Kutoka nyanda za juu kaskazini wanawezaje kuanzisha biashara Kutoka kuwa ndogo Hadi kufika juu bila kufa!!

Utafiti huo uwe halisi na uwekwe katika vitabu na mitaala.

Kila kabila au Kanda Fulani zitafutiwe fani wanazoziweza zaidi Serikali iwekeze ikiongezea utaalamu Toka nje .
 
Tungejikita kutafuta Watanzania wenye Talent ya usimamizi Toka mifumo yetu ya kielimu waliozaliwa na Maarifa hayo,

Leo tusingewaza kukodisha, kubinafsisha Bandari zetu Kwa kigezo Cha Usimamizi mbovu wa Bandari zetu.
 
Bado hamjasoma wazee wa vetting?
 
Asante mtume na nabii mvuta bangi
 
Teua tengua imetosha.

Macho ya kinabii yatumike.
 
Mungu tayari amesema na watumishi wake juu ya mtu sahihi wa kuivusha Nchi, ambaye yumo ndani ya chama tawala.

Mtu huyo ana ubinadamu, misimamo isiyoyumba,mwadilifu, visionary, mchapakazi, intelligent, mwadilifu.

Asipopewa nafasi huyo, anguko ni dhahiri.
 
Tayari Mungu ameonyesha manabii wake wanaosimama katika zamu ya nchi kuwa J. GWAJI MA atatuvusha,

Ni KAZI kwetu kuamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…