Macho yako yanaona kama mimi? Mimi naona kama DSM fursa za kupiga pesa ni nje nje

[emoji23][emoji23] hapo hajapangisha pango..hajalipa kijana..hajafuatwa na watu wa tra,leseni ya biashara..watu wa ukaguzi wa chakula tbs..bado gharama za usafi na ulizi..hapo hapo kwenye hiyo faida familia inataka ile...
 
Biashara ni ngumu, inahitaji pulling ya Maana.

thank me later
 
Macho sawa yanaona fursa DSM, mifuko imetuna?
 
kuna kipindi miaka ya nyuma nilitoa pilipili hoho kutoka lukozi lushoto kuleta kariakoo, kilichonikuta, nilitamani nitelekeze mzigo sokoni nitoroke mwenye usafiri
Haaaaaahaaaaa umenikumbusha mm nilitoa embe tanga hadi buguruni pale ilibaki kidogo nimkimbie jamaa wa gari tumetoka kule nimempa 150,000 tumekubaliana 450,000 nampa baada ya mauzo sitasahau ile siku nilichomoka padogo sana nashkuru nilimpa hela yake!
 
kuna kipindi miaka ya nyuma nilitoa pilipili hoho kutoka lukozi lushoto kuleta kariakoo, kilichonikuta, nilitamani nitelekeze mzigo sokoni nitoroke mwenye usafiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu...zile kuoza dak sifuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini hukoma mkuu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…