Unaweza kunitafutia neno mhuni kwenye andiko langu?duuu hivi dalali ni mhuni na wakala anaheshimika kidogo
kuna kipindi miaka ya nyuma nilitoa pilipili hoho kutoka lukozi lushoto kuleta kariakoo, kilichonikuta, nilitamani nitelekeze mzigo sokoni nitoroke mwenye usafiri
Kuna Jamaa Yangu Mmoja Baada Ya Kuhitimu Chuo Alikuwa Na Mihemko Sana Kama Hii.kuna kipindi miaka ya nyuma nilitoa pilipili hoho kutoka lukozi lushoto kuleta kariakoo, kilichonikuta, nilitamani nitelekeze mzigo sokoni nitoroke mwenye usafiri
Na Ukishavifikisha Sokoni, Madalali Wanakuwa Kama Wameambizana.kwenye mchele piga kazi ila viazi ukikosa soko siku 3 utajua kwa nini bajaj haipinduki.
Model ipi?Sa hivi ana BMW new model
Wenyewe hua wana hesabu zao eti wauza chips wote hawa hauwezi kosa wa kumuuzia gunia la viazi,maaanina ingia kwny game ndio utajua kwanini kilimo kiliitwa ni uti wa mgongo.unaweza kuja na gunia zako na ukakosa mtu wa kumuuzia
Hatua muhimu ya kuepuka a na hili,Ni kukodi chumbani karibu na soko unalofikishia mzigo,Happ ndo unauza bila presha,mzigo ukibaki unapaki ndani Kisha unaanza mguu kea mguu kusaka wateja,wauza chips unawauzia kwa Bei chini ya ile ya sokoniManeno ya motivation speakers hyo!ingia site uone mziki wake.Paranganyika leta Mzigo wako madalali tupo tunakupangia bei ya kuuza km hautaki kakange chips ukule na familia yako viroba 50 km unaweza.
Hautakiwi kukurupuka ,lazima huwe na mipango mkakati,utafute wateja kwnza kabla ya kwenda kuchukua mzigo maana watu wana watu wao,huwe pia na ubao sokoni km ulivyosema.Hatua muhimu ya kuepuka a na hili,Ni kukodi chumbani karibu na soko unalofikishia mzigo,Happ ndo unauza bila presha,mzigo ukibaki unapaki ndani Kisha unaanza mguu kea mguu kusaka wateja,wauza chips unawauzia kwa Bei chini ya ile ya sokoni
Hapo kwa suala la mganga Bora nife njaa tu,siweziHautakiwi kukurupuka ,lazima huwe na mipango mkakati,utafute wateja kwnza kabla ya kwenda kuchukua mzigo maana watu wana watu wao,huwe pia na ubao sokoni km ulivyosema.
Usisahau kutafuta mganga mzuri toka Tanga ,Kigoma au Sumbawanga kama unatokea kusini kuna Liwale kule kuna mafundi pia maana masokoni kuna vyuma ulete balaah,watu wanaweza kuloga biashara yako wateja wakija viazi wanaona makande, lasivyo utaambulia madeni tu.
Itakula kwako mm ninaye ndg aliyefilisika kwa biashara hzo za mazao zamani k/koo shimoni ilipoitwa k/koo,watu walipiga pesa chafu wakatajirika ila wale waliojipanga kila idara ,kama ujajipanga usiingie kwnye biashara za mazao uchawi mwingi sana watu wanapiga kafala kubwa kubwa.Hapo kwa suala la mganga Bora nife njaa tu,siwezi