Macho yako yanaona kama mimi? Mimi naona kama DSM fursa za kupiga pesa ni nje nje

Macho yako yanaona kama mimi? Mimi naona kama DSM fursa za kupiga pesa ni nje nje

kuna kipindi miaka ya nyuma nilitoa pilipili hoho kutoka lukozi lushoto kuleta kariakoo, kilichonikuta, nilitamani nitelekeze mzigo sokoni nitoroke mwenye usafiri

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mimi na harakati zangu za tikiti niliisusa fusso sokoni nikarudi zangu home sijui hata waligawanaga sh ngapi! Tikiti ni balaa, Usichukulie mkopo, Segerea nje nje!
 
kuna kipindi miaka ya nyuma nilitoa pilipili hoho kutoka lukozi lushoto kuleta kariakoo, kilichonikuta, nilitamani nitelekeze mzigo sokoni nitoroke mwenye usafiri
Kuna Jamaa Yangu Mmoja Baada Ya Kuhitimu Chuo Alikuwa Na Mihemko Sana Kama Hii.

Akatumia Akiba Yake kwenda Morogoro, Akanunua Mbuzi Wa Kutosha Akakodi Gari Na Kuwaleta Mpaka Dar, Pugu Mnadani.

Alipofika Tu Kumbe Madalali Wanamsoma, Yeye Anajua Ni Kuuza Tu Mzigo Na Kusepa.

Madalali Walivyojua Kama Asipowauza Mbuzi Siku Hiyo Hana Sehemu "zizi" La Kwenda Kuwaweka Pending, Wakamsikilizia, Ilipofika Jioni Wakawa Wanamtajia Bei Wanayotaka Wao.

Aliwauza Kwa Bei Ya Hasara, Hana Hamu Tena !
 
unaweza kuja na gunia zako na ukakosa mtu wa kumuuzia
Wenyewe hua wana hesabu zao eti wauza chips wote hawa hauwezi kosa wa kumuuzia gunia la viazi,maaanina ingia kwny game ndio utajua kwanini kilimo kiliitwa ni uti wa mgongo.
 
Jamaa kaleta fursa, watu wameleta kejeli tena 90% walioleta kejeli ndo wale wanaonzishaga thread za "NINA (KIASI FLAN) NIFANYE BIASHARA GANI?"
 
mvuv

Maneno ya motivation speakers hyo!ingia site uone mziki wake.Paranganyika leta Mzigo wako madalali tupo tunakupangia bei ya kuuza km hautaki kakaange chips ukule na familia yako viroba 50 km unaweza.
 
Maneno ya motivation speakers hyo!ingia site uone mziki wake.Paranganyika leta Mzigo wako madalali tupo tunakupangia bei ya kuuza km hautaki kakange chips ukule na familia yako viroba 50 km unaweza.
Hatua muhimu ya kuepuka a na hili,Ni kukodi chumbani karibu na soko unalofikishia mzigo,Happ ndo unauza bila presha,mzigo ukibaki unapaki ndani Kisha unaanza mguu kea mguu kusaka wateja,wauza chips unawauzia kwa Bei chini ya ile ya sokoni
 
Hautakiwi kukurupuka ,lazima huwe na mipango mkakati,utafute wateja kwnza kabla ya kwenda kuchukua mzigo maana watu wana watu wao,huwe pia na ubao sokoni km ulivyosema.

Usisahau kutafuta mganga mzuri toka Tanga ,Kigoma au Sumbawanga kama unatokea kusini kuna kijiji kinaitwa Liwale kule kuna mafundi pia maana masokoni kuna vyuma ulete balaah,watu wanaweza kuloga biashara yako wateja wakija viazi wanaona makande, lasivyo utaambulia madeni tu.
 
Hautakiwi kukurupuka ,lazima huwe na mipango mkakati,utafute wateja kwnza kabla ya kwenda kuchukua mzigo maana watu wana watu wao,huwe pia na ubao sokoni km ulivyosema.

Usisahau kutafuta mganga mzuri toka Tanga ,Kigoma au Sumbawanga kama unatokea kusini kuna Liwale kule kuna mafundi pia maana masokoni kuna vyuma ulete balaah,watu wanaweza kuloga biashara yako wateja wakija viazi wanaona makande, lasivyo utaambulia madeni tu.
Hapo kwa suala la mganga Bora nife njaa tu,siwezi
 
Hapo kwa suala la mganga Bora nife njaa tu,siwezi
Itakula kwako mm ninaye ndg aliyefilisika kwa biashara hzo za mazao zamani k/koo shimoni ilipoitwa k/koo,watu walipiga pesa chafu wakatajirika ila wale waliojipanga kila idara ,kama ujajipanga usiingie kwnye biashara za mazao uchawi mwingi sana watu wanapiga kafala kubwa kubwa.
 
Back
Top Bottom